Derby Day Miono; Watumishi wa shule za msingi Vs watumishi wa shule za Sekondari

Hatimae Michezo Miono inaanza kutimua vumbi Kesho siku ya Ijumaaa tarehe 19 Julai 2024 kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka baina ya mahasimu wawili kati ya
Vs
wanakwambia
"KIFO HAKIKWEPEKI NI SWALA LA MUDA TU"
Hiii ni DERBY kubwa sana mashabiki wa mpira wa miguu na michezo Kwa ujumla tukutane kesho
KIKARO SEKONDARI STADIUM 🏟️
Ili kushuhudia ni nani Muda wake kesho utamfikia.

No comments